Katika kuhakikisha watu wanaishi maisha ya kijamaa Mwalimu Nyerere alisisitiza kanuni zifuatazo za maisha ya kijamaa
1. Kupendana au kuheshimiana kindugu (watu)
2. Mali yote ya lazima ni mali ya shirika na itatumiwa na jamaa yote (mali)
3. Kila mtu ana wajibu wa kufanya kazi (kazi)
Post a Comment