Waziri wa wa habari bwana Nape Nnauye achukizwa na kitendo cha wafuasi wa Simba waliong'oa viti baada ya kufungwa goli lililowakasirisha.
1. Maamuzi ya nape ni kuwa Simba na Yanga hawatatumia tena uwanja wa taifa hadi hapo itakapoamriwa
2. Simba watafidia gharama zilizotokana na uharibifu huo.
About Author

Advertisement

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment