Maelezo ya kitaalamu kutoka kwa Prof. Mluma Abdulkarim mtendaji mkuu wa wakala wa Geologia nchini.
ANASEMA
"Kilichotokea ni maozo ya mbolea ndio yameshika moto na kuunguza Uoto wa asili.
Hakuna mpasuko wala dalili zozote za volcano...! "
Shuhuda kutoka eneo la tukio
ANASEMA
"Binafsi nimepita pale nikaona Ni tukio la kawaida labda wananchi wajitahidi tu kuuzima moto make utasambaa kwa kasi"
Post a Comment