Leo nawaletea makala haya yanayohusu elimu mpya ya uzazi, mwanamke yeyote anaweza kupata ujauzito wenye watoto mapacha hata kama si asili ya ukoo wake, ungana nami sehemu ya mwisho.
ILI UTENGENEZE MIMBA YA MAPACHA FANYA YAFUATAYO
Wanawake wengi wanaoongoza kwa kushika mimba za mapacha ni wale ambao wakati wa kulala wanabadili staili mara kwa mara.Mara nyingi inashauriwa kuwa, mwanamke akishaingia kwenye siku zake za hatari kulingana na mzunguko wake wa hedhi, akutane kimwili na mumewe au mwanaume anayetaka kuzaa naye.
Baada ya tendo la ndoa, mwanamke anashauriwa kulala kwa kujigeuzageuza kitandani. Hapa namaanisha kwamba, akiwa amelala, ajigeuze kuangalia juu, kulalia ubavu wa kulia, kushoto, kulala kifudifudi kwa usiku kucha.
Fanya hivi kwa kurudiarudia siku kadhaa katika kipindi hicho cha hatari, hapo uwezekano wa kushika mimba ya mapacha utakuwa mkubwa sana.Imeandaliwa na Dk. Fadhili Emily wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asilia Clinic kilichopo Mbezi Afrikana Barabara ya Salasala jijini Dar. Mawasiliano zaidi O712 705 15 na O757 505 158.
NB: Habari hizi hazina ushahidi Wa kisayansi hivyo zisitumike kama njia pekee zipo sababu nyingi za kisayansi kuhusu mapacha. Hivyo usifungwe nazo kwa kuzipa asilimia 100%
Post a Comment