Chemical rapper chipukizi aliyejiwekea rekodi yake nzuri katika muziki kwa mwaka 2016 amekuwa akivutia watu wengi kwa mtindo wake wa maisha na hasa kwa kuonekana hana "boyfriend" na zaidi nyeti toka kwa majirani wakidai bado hajawahi kujihusisha na masuala ya ngono.
Amefunguka haya redioni akijibu mistari ya rapper Stereo.
Tazama video hapa chini
https://youtu.be/NEt48yYU8SQ
Post a Comment