DobsFoundation  DobsFoundation Author
Title: Basi la Mohammed Trans lapata ajali
Author: DobsFoundation
Rating 5 of 5 Des:
 Ajali ya gari bus Mali ya kampani ya Mohamed Trans lililokuwa likitoka mkoani tanga kuelekea Geita, lilipofika singida wakat likijaribu ku...


 Ajali ya gari bus Mali ya kampani ya Mohamed Trans lililokuwa likitoka mkoani tanga kuelekea Geita, lilipofika singida wakat likijaribu ku-overtake gari ndgo lililokuwa limepakiwa pemben mwa barabara basi hilo liligongana uso kwa uso na gari la mafuta aina ya scania na kusababisha vifo vya watu watatu hapo hapo na kujeruhi wengine 6 tukio hilo limetokea Jana trh 6/1/2017.

 Basi hilo lilikuwa limekodiwa na walimu waliokuwa wanatoka masomon katka chuo kikuu cha Eckernforde Tanga university baada ya kumaliza mhula (semiseter) ya course yao ambayo huendeshwa chuon hapo wakati wa likizo na ni maalum kwa watumishi hasa walimu!
 Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top