DobsFoundation  DobsFoundation Author
Title: Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la nne 2016
Author: DobsFoundation
Rating 5 of 5 Des:
Yatazame hapa matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la nne 2016 Leo January 15 2017 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo...

Yatazame hapa matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la nne 2016


Leo January 15 2017 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili ‘FTNA’2016 na matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne SFNA2016.

Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya Form two 2016 kwenye link iliyoandikwa ‘FTNA 2016’  >>>FTNA 2016

Unaweza kuyatazama matokeo ya darasa la nne 2016 kwenye link iliyoandikwa ‘SFNA2016’ >>>SFNA2016


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top