DobsFoundation  DobsFoundation Author
Title: Wafanyakazi wa serikali za mitaa walia na udhalilishwaji
Author: DobsFoundation
Rating 5 of 5 Des:
Chama cha wafanyakazi wa Serikali za mitaa (TALGWU)kimewatata viongozi wa kisiasa kuacha udhalilishaji kwa watendaji ngazi za kata,vijiji n...


Chama cha wafanyakazi wa Serikali za mitaa (TALGWU)kimewatata viongozi wa kisiasa kuacha udhalilishaji kwa watendaji ngazi za kata,vijiji na mitaa.

Akizungumza na waandishi wa habari,Katibu mkuu wa chama hicho, Rashid Mtima alisema tayari wameshapeleka barua kwa makatibu tawala kwa lengo la kukusanya matukio hayo ya udhalilishaji.

“Kwa mfano tunakumbuka lile tukio la afisa ardhi aliyedhalilishwa na Makonda hivi karibuni, basi huko kwenye halmashauri, watendaji wa serikali za mitaa wananyanyasika sana,” alisema Mtima.

“Akikosea achukuliwe hatua lakini ni vyema akiachwa akajieleza, zipo taratibu za kufuata na sio kufuata umaarufu kwa njia hizo, tunaamini njia ya mazungumzo ndiyo njia sahihi tunaamini hali kama hiyo haitajitokeza tena”.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top