DobsFoundation  DobsFoundation Author
Title: Rais Magufuli akerwa na wafuasi wa Gwajima na Manji kwenda kwa wingi kituoni.
Author: DobsFoundation
Rating 5 of 5 Des:
Inaonyesha kila kinachoendelea huwa kinamfikia Rais Magufuli ambapo leo kwenye hotuba yake IKULU Dar es salaam ameongea kuhusu wale Mashabi...

Inaonyesha kila kinachoendelea huwa kinamfikia Rais Magufuli ambapo leo kwenye hotuba yake IKULU Dar es salaam ameongea kuhusu wale Mashabiki wa Yanga walioonekana kulifutafuta vumbi gari la Mfanyabiashara Yusuph Manji baada ya kuingia kuhojiwa Polisi kwenye sakata la dawa za kulevya.

Pamoja na hilo, rais  pia ameongelea ishu ya Wanakwaya wa Askofu Gwajima kwenda na kusimama nje ya kituo cha kati cha Polisi baada ya Askofu huyo kuingia kuhojiwa na Polisi kwenye sakata la dawa za kulevya. 

==> Msikilize hapo chii akiongea

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top