DobsFoundation  DobsFoundation Author
Title: Alikiba na Vanessa Mdee kutumbuiza na Chris Brown Mombasa
Author: DobsFoundation
Rating 5 of 5 Des:
Alikiba na Vanessa Mdee watapanda jukwaa moja na nyota wa muziki wa RnB nchini Marekani, Chris Brown. Wawili hao watatumbuiza pamoja na Ch...

Alikiba na Vanessa Mdee watapanda jukwaa moja na nyota wa muziki wa RnB nchini Marekani, Chris Brown.

Wawili hao watatumbuiza pamoja na Chris Brown, Oktoba 8, mwaka huu kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music.

“Mombasaaaaaa it’s ME N U this weekend. mombasarocksfestival  Juu Niroge.... ameandika Vanessa kwenye Instagram.

Nyota wa Nigeria, Wizkid naye atatumbuiza kwenye tamasha hilo kubwa.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top