DobsFoundation  DobsFoundation Author
Title: Diamond Azungumzia Ugomvi wa Zari na Mama yake na Michepuko
Author: DobsFoundation
Rating 5 of 5 Des:
Diamond platnumz amesema hakuna ugomvi ndani ya familia yao kati ya mama yake, dada yake na Zari ila mashabiki ndio wanaokuza kwa kuwa wana ...

Diamond platnumz amesema hakuna ugomvi ndani ya familia yao kati ya mama yake, dada yake na Zari ila mashabiki ndio wanaokuza kwa kuwa wana IQ ndogo ya kutafsiri kinachopostiwa mtandaoni na watu hao

Kuhusu kuwa na mahusiano na wasichana wengine amedai kuwa, watu wanadi hivyo kwa kuwa kila wakimuona na msichana mzuri wanafikiri anapiga kwa kuwa wao wana mazoea ya kupiga kila msichana mzuri

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top