Kama umenunua simu yako mpya na haisomi internet tafadhali tizama hapa chini na ufanue setting.
Setting hizo utaziweka sehemu ya Access Point Name kwa kutegemea laini unayotumia. VODACOM
Name = Vodacom APN : Internet
Name: Airtel APN: Internet IP-ADDRESSS: 10.10.09.30
Port:8080
TIGO Name: Tigo APN: tigoweb
ZANTEL
Name: Zantel
APN: znet
HALOTEL
Name : Halotel
APN : b internet
Post a Comment