DobsFoundation  DobsFoundation Author
Title: Mpigapicha maarufu Mpoki Bukuku afariki dunia
Author: DobsFoundation
Rating 5 of 5 Des:
Mpiga picha maarufu Mpoki Bukuku amefariki dunia leo katika Taasisi ya Mifupa (MOI), alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Taarifa zinas...


Mpiga picha maarufu Mpoki Bukuku amefariki dunia leo katika Taasisi ya Mifupa (MOI), alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Taarifa zinasema Mpoki amefariki dunia mchana huu na alipokelewa jana usiku baada ya kupata ajali ya gari maeneo la Mwenge ITV.

Mpoki Bukuku amewahi kufanya kazi kama Mpiga Picha Mkuu katika gazeti la Mwananchi pia amewahi kufanya kazi magazeti kadhaa likiwemo Majira na Nipashe.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top