Hali ya ukosefu magari stendi ya ubungo jijini Dar es Salaam bado ni tete ambapo magari yamejaa na abiria bado wapo wengi.
Watu wanahaha huku magari mengine yakiwa hayana nafasi hadi siku ya jumatatu. Abiria wa Morogoro wamepanga mstari katika milango ya ofisi za BM Coach ambapo wameahidiwa watasafiri
Ofisi zingine zimefungwa kabisa huku matangazo yakiwa yamewekwa mlangoni kuwa hakuna nafasi Leo, kesho n.k.
Post a Comment