DobsFoundation  DobsFoundation Author
Title: ASALI, KITUNGUU SAUMU, TANGAWIZI NA HABBAT SODA KWA TIBA YA NGUVU ZA KIUME
Author: DobsFoundation
Rating 5 of 5 Des:
1. Malalamiko Yanayotolewa Na Baadhi Yao Yanaonesha Kwamba, Muda Wa Kumaliza Tendo Huwa Kati Ya Nusu Dakika Na Dakika Tatu Kwa Tendo La Kwan...

1. Malalamiko Yanayotolewa Na Baadhi Yao Yanaonesha Kwamba, Muda Wa Kumaliza Tendo Huwa Kati Ya Nusu Dakika Na Dakika Tatu Kwa Tendo La Kwanza, Huku Wengine Wakimaliza Hamu Katika Hatua Za Awali Tu Za Hamasa Ya Kimahaba.

2. Hata Hivyo, Kumetolewa Maelezo Na Nafuu Ya Ongezeko La Muda Katika Tendo La Pili Na Kuendelea, Ingawa Bado Suala La Kutangulia Kufika Kileleni Kabla Ya Wanawake Limekuwa Likiwahuzunisha Wanaume Wengi.

3. Ni Ukweli Usiopingika Kuwa, Mwanaume Anapowahi Kufika Kileleni Kabla Ya Mwenzake Humsababishia Kero Mwanamke Anayeshiriki Naye Tendo, Kwani Humwacha Njia Panda Pasipokuwa Na Hitimisho La Raha Ya Kujamiiana.

4. Hali Hii Inatokana Na Maumbile Ya Uume Wa Mwanaume Ambao Husinyaa Mara Baada Ya Kuhitimisha Mbio Zake, Lakini Kwa Mwanamke Kuwahi Si Tatizo, Kwani Hakumfanyi Ashindwe Kumsindikiza Mwenzake Hadi Kileleni.

5. Utofauti Huu Ndiyo Unaowafanya Wanaume Wahuzunike Zaidi Wanapokabiliwa Na Janga Hilo Kiasi Cha Kufikia Hatua Ya Kwenda Kwa Waganga/Matabibu Ili Iwasaidie Kuepuka Balaa Ya Kutoka Uwanjani Na Aibu.

6. Ingawa Kumekuwa Na Mafanikio Katika Tiba Za Kisayansi, Lakini Bado Wanaume Wameshindwa Kupata Ukombozi Wa Kudumu Wa Tatizo Hili. Wengi Wamejikuta Wakijiongezea Mzigo Wa Fikra Kwa Kuzitumaini Zaidi Dawa Au Kuzitumia Na Kupata Matokeo Mabaya Zaidi Ya Kuishiwa Nguvu Kabisa.

7. Kwa Kufahamu Mikinzamo Iliyopo Kati Ya Akili Na Tiba Ya Nguvu Za Kiume Na Madhara Yachipukiayo Imebainika Kuwa, Mtu Anaweza Kujitibu Tatizo Hilo Kwa Kutumia Kanuni Za Kisaikolojia Na Mafanikio Yasiyo Na Madhara Yakapatikana.
Wataalamu Wa Kisaikolojia Wanatambua Kuwa Kanuni Ya Ufanyaji Mapenzi Iko Zaidi Kwenye Ubongo Kuliko Mwilini.

8. Kinachotokea Hadi Mtu Akapata Msisimko Wa Kufanya Mapenzi Si Mwitikio Wa Mwili, Bali Ni Utambuzi Wa Akili Juu Ya Kiwango Cha Mapenzi Kilichopokelewa Kwenye Ubongo Unaojihusisha Na Hisia.

FAHAMU VYAKULA VINAVYOONGEZA NGUVU.....

Kuna Aina 2 Ya Vyakula Ambavyo Vimefanyiwa Utafiti Na Kubaini Kuwa Ni Moja Ya Vyakula Vinavyosaidia Kuongeza Nguvu Za Kiume Na Havina Madhara Katika Engezeko La Nguvu Za Kiume, Katika Vyakula Hivyo Vyenye Uwezo Wa Kuongeza Nguvu Za Kiume Kiasili Ni:

1. TANGAWIZITangawizi Ni Moja Ya Chakula Kinachoweza Kurejesha Nguvu Za Kiume, Unaweza Kuichemsha Tangawizi Na Ukatumia Kwa Kuinywa Kama Chai Asubuhi, Mchana Na Jioni Pia Tangawizi Unaweza Ukaitumia Katika Mchanganyiko Wa Kiasili Kwa Kutumia Asali,Kitunguu Saumu Na Tangawizi Yenyewe.

JINSI YA KUTUMIA MCHANGANYIKO HUU:
Chukua Tangawizi Na Kitunguu Saumu Vitwange Kisha Vichanganye Na Asali Pamoja Na Unga Wa Habat Soda Na Uwe Unakunywa Mchanganyiko Huu Kwa Kutumia Kijiko Cha Chai Kimoja Kutwa Mara 3 Kwa Muda Wa Wiki Moja Na Utaona Mabadiliko.

2. TIKITI MAJI:
-Chakula Kingine Kinachosaidia Katika Upande Wa Kuongeza Nguvu Za Kiume Ni Tunda La Tikiti Maji, Unaweza Ukachukua Tikiti Lako Ukalikata Na Kutengeneza Juice Ya Tikiti Kisha Unakunywa Ila Sio Lazima Utengeneze Juice Hata Lenyewe Tu Unaweza Ukalila. Ila Jitahidi Kutumia Tunda Hili Hata Kila Siku Kwani Linasaidia Sana Kwa Wenye Matatizo Ya Nguvu Za Kiume.

Si lazima utumie chemicals tumezungukwa na suluhisho ya matatizo mbalimbali kwa kutumia matunda na mbogamboga ............Jaribu ujionee.....

About Author

Advertisement

Post a Comment

  1. Asante sana kwa elimu nzuri

    ReplyDelete
  2. huo mchanganyiko unaweka asali kiasi gani na habit soda kiasi gan? Afu wachanganya na maji au na kam wachanganya na maji ni kias gan?

    ReplyDelete
  3. Changanya na asali. Kadiria kama ni gm 200 za saumu na tangawizi 200 pamoja na haabbat souda changanya la asali inayozidi kidogo vitu hivyo uji uwe mzito na uendelee kutumia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huo mchanganyiko unatumia kulamba au unachukua Kijiko unaweka kwenye maji ya vuguvugu?

      Delete
    2. je naweza kutumia mafuta ya haabbat souda au ni lazima iwe ya unga?

      Delete
  4. Sasa hizi habart soda mbona sio unga ni mbegu sasa je tunasaga ili tupate unga au hata hivyo hivyo zinafaa

    ReplyDelete
  5. Habat sawda ni unga au mafuta

    ReplyDelete
  6. Wenye ushahidi juu ya hii tiba waje watupe mrejesho

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hiyoo mixer ni balaa sana usipime mimi huwa natumia daily yaani dushelele linawamba balaaa.

      Delete
  7. Nimekuelewa vzr sana nitakutumia hii njia

    ReplyDelete
  8. Na je ninaweza tumia hata habat sauda ya maji ktk mchanganyiko huo?

    ReplyDelete
  9. Mh,
    Tunakushukuru kwa hili tatizo la dawa yako huna vipimo

    ReplyDelete
  10. Hiyo mixture ni shidaah wazee ni kiboko naitumia daily mm

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ila inahitaji uizoee maana kama yakera hivi harufu yake.

      Delete
  11. Sasa tangawizi naweka maji au na makamfi yake

    ReplyDelete
  12. Unga wa habati ndo ukoje na unapatikana wap

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwenye maduka ya viungo vya chakula au asili

      Delete
  13. Mwenye ushuhuda wa huo mchanganyiko

    ReplyDelete
  14. Kwenye maduka ya viungo vya chakula au asi

    ReplyDelete
  15. Nataka ufafanuzi zaidi kuhusiana mchaganyiko huu

    ReplyDelete
  16. Je ukitumia unga kitunguu saumu

    ReplyDelete
  17. Unga wa kitunguu saumu unafaa ktk mchanganyiko huo

    ReplyDelete
  18. Iyo habat soda nawez kuipata wap

    ReplyDelete
  19. NAHITAJI DARASA LAKE NAOMBA NAMBA YANGU 0625882652

    ReplyDelete

 
Top