Ukosefu na/au upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani.
Kufahamu mambo yanayo sababisha tatizo la ukosefu/ upungufu wa nguvu za kiume, dalili za mwanaume mwenye tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, viashiria vya tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume, athari za tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, tafadhali tembelea :http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/uhusiano-kati-ya-damu-na-tatizo-la.html
LISHE MAALUMU KWA WANAUME WENYE TATIZO LA UKOSEFU NA/AMA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Hii ni Tiba-Lishe maalumu kwa wanaume wenye kusumbuliwa na tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume. Tiba –lishe hii inajumuisha vyakula,matunda, mimea mbalimbali, pamoja na dawa ya asili iitwayo Jiko.
JINSI YA KUANDAA NA KUTAYARISHA LISHE MAALUMU KWA WANAUME WENYE TATIZO LA UKOSEFU NA /AMA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Mahitaji
1. Dawa asilia ya Jiko
2. Juice ya msafisha tumbo
3. Supu ya nyanya chungu
4. Vitunguu swaumu/vitunguu maji
5. Juice ya rozera
6. Vumbi la Kongo ( Congo Dust )
7. Pink salt ( Chumvi ya pinki ) au Himalayan Salt
8. Pilipili manga
MAANDALIZI , MATAYARISHO NA MATUMIZI
Jinsi Ya Kuandaa, Kutayarisha na Kutumia dawa asilia ya Jiko.
Chukua vijiko vidogo viwili vyenye dawa ya jiko, kisha tia kwenye kikombe chenye maji ya moto ambacho ujazo wake ni milimita mia mbili hamsini ( 250mills ). Iache kwa kama dakika kumi, kisha koroga halafu tumia kunywa pamoja na machicha yake. Utafanya hivyo mara mbili kwa siku, asubuhi na jioni kwa muda wa siku thelathini.
AU Chukua vijiko vidogo viwili vyenye dawa yako halafu chemsha pamoja na maji robo lita hadi itokote kabisa, kisha ipua halafu tumia kunywa dawa pamoja na machicha yake. Utafanya hivyo mara mbili kwa siku, asubuhi na jioni kwa muda wa siku thelathini
VUMBI LA CONGO ( CONGO DUST ) : Katika kipindi cha siku thelathini za matumizi ya tiba asilia ya Jiko. Unashauriwa kutumia vumbi la congo walau mara moja kwa wiki kwa muda wa wiki nne. Yani wiki ya kwanza, utumie mara moja, wiki ya pili utumie maara moja, wiki ya tatu utumie mara moja, na wiki ya nne utumie mara moja.
MATAYARISHO NA MATUMIZI YA VUMBI LA CONGO
Chukua dawa yako kiasi cha kujaa kwenye kidole, kisha changanya kwenye mafuta ya kujipaka halafu tumia kupaka kwenye kichwa cha uume wako. Utafanya hivyo, nusu saa kabla ya kushiriki tendo la ndoa.
LISHE MAALUMU YA KUTUMIA PAMOJA NA DAWA YA JIKO
Pamoja na dawa ya Jiko, unashauriwa kutumia lishe maalumu kama ifuatavyo:
1. SUPU YA NYANYA CHUNGU AMA NGOGWE : Unashauriwa kutumia supu ya nyanya chungu mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kwa siku thelathini.
Mahitaji :
·Robo kilo ya nyanya chungu ( Tumia nyanya chungu zenye rangi ya kijani kwani ndio zenye virutubisho vinavyo hitajika.
·Nusu kijiko kidogo cha chumvi ya pinki ( Pink Salt), au Himalayan salt pamoja na maji lita mbili. ( Kama utakosa hizo chumvi utatumia nyanya chungu peke yake bila kuongeza chochote )
Matayarisho : Baada ya kuziosha nyanya zako bila kutoa vikonyo vyake, ziweke kwenye maji kiasi cha lita mbili, ndani ya maji hayo ongeza nusu kijiko kidogo cha chumvi ya pink, au Himalayan Salt ( Kama hauna hizo chumvi chemsha nyanya zako peke yake bila kuchanganya na chochote), kisha chemsha hadi itoe supu. Baada ya hapo, ipua kisha tumia kula supu yako pamoja na kutafuna nyanya chungu zote ulizo chemsha.
Utafanya hivi mara mbili kwa siku,asubuhi na jioni kwa muda wa siku thelathini. Asubuhi utatumia muda wwowote kati ya saa kumi na mbili alfajiri na saa nne asubuhi na usiku utatumia muda wowote kati ya saa moja usiku hadi saa nne usiku. )
N.B :KABLA YA KUTUMIA SUPU YA NYANYA CHUNGU, WEKA TOFAUTI AMA INTERVAL YA DAKIKA KUMI HADI KUMI NA TANO TANGU UMETUMIA DAWA YA JIKO. KWA MFANO KAMA UMETUMIA DAWA YA JIKO SAA MBILI KAMILI,ASUBUHI, BASI SUPU YA NYANYA CHUNGU ITUMIE SAA MBILI NA DAKIKA KUMI AU NA DAKIKA KUMI NA TANO . UTAFANYA VIVYO HIVYO WAKATI WA USIKU.
Pia kama, utakosa nafasi ya kuchemsha nyanya chungu, basi unashauriwa kutafuna nyanya chungu zikiwa mbichi pamoja na maji ya uvugu vugu lita moja na nusu, mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kwa muda wa siku thelathini.
3. JUICE YA ROZERA : Unashauriwa kutumia juice ya Rozera mara kwa mara, kila upatapo nafasi.. Unashauriwa kutumia lita moja hadi mbili ya juice ya Rozera kila siku kwa muda wa siku thelathini mfululizo. Unatakiwa kutumia lita hiyo moja ya juice ya Rozera kwa wakati mmoja. Kama ni mchana utakunywa lita nzima ya juisi ya Rozera, na kama ni jioni, utakunywa lita nzima ya juisi ya Rozera. Unatakiwa kuinywa bila ya kuchanganya na kitu chochote kile. Na muda mzuri wa kuinywa, ni kati ya saa sita mchana hadi saa saa 2 kamili usiku.
Matayaraisho Ya Juice Ya Rozera : Chukua vijiko vikubwa vinne vya rozera iliyo kaushwa, kisha loweka kwenye maji lita mbili, iache kwa muda wa dakika thelathini, kisha chemsha hadi itokote. Itakapo tokota, ipua, chuja, makapi weka pembeni, baki na juisi yako ambayo utaitumia kwa kunywa yote . Utafanya hivyo mara moja kwa siku kwa muda wa siku thelathini. Unaweza kuinywa ikiwa ya moto, ama ikiwa imepoa. Ila vizuri zaidi uinywe ikiwa ya moto.
4. JUICE YA MSAFISHA TUMBO : Unashauriwa kunywa walau lita moja ya juisi ya dawa asilia ya MSAFISHA TUMBO mara moja kwawiki katika kipindi cha wiki nne utakazo kuwa unatumia dozi ya dawa ya Jiko. Hii ina maana kuwa ndani ya wiki nne za dozi ya Jiko, utatumia lita nne za juisi ya Msafisha Tumbo, lita moja kila wiki, kwa muda muda wa wiki nne.
Matayarisho Ya Juisi Ya Msafisha Tumbo: Chukua vijiko vitatu vidogo vyenye dawa ya msafisha tumbo,, kisha weka kwenye lita moja ya maji, halafu chemsha hadi itokote, ikisha tokota, ipua chuja, makapi weka pembeni, ubaki na juisi yako ambayo utaitumia kwa kunywa yote. Unatakiwa kuinywa ikiwa ya moto na muda mzuri wa kuinywa ni saa kumi na mbili jioni.
5. VITUNGUU MAJI NA VITUNGUU SWAUMU: Katika kipindi chote utakacho kuwa unatumia dozi ya dawa ya Jiko, unashauriwa kutumia kwa wingi sana, vitunguu maji na vitunguu swaumu.
NJIA ZA KUTUMIA VITUNGUU MAJI NA VITUNGUU SWAUMU
Zipo njia kuu tatu za kutumia kitunguu maji na kitunguu swaumu kama lishe maalumu kwa mwanaume anaye tumia tiba ya ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
A. MCHANGANYIKO WA JUICE YA KITUNGUU MAJI NA KITUNGUU SWAUMU
Unashauriwa kutumia mchanganyiko huu, walau mara moja kwa wiki.Lakini kama utaweza kutumia mara mbili au tatu kwa wiki, sio mbaya pia.
Mahitaji : Kitunguu swaumu kiasi ha robo kilo, kitunguu
maji robo kilo.
Matayarisho : Blend au saga robo kilo ya kitunguu swaumu kupata juisi yake. Ukisha saga, weka juisi yako kwenye sufuria
safi.
Kisha saga robo kilo ya kitunguu maji kupata juisi
yake, ukisha pata juisi ya kitunguu maji, changanya pamoja na ile juisi ya kitunguu swaumu halafu chemsha hadi itokote.
Ikisha tokota, ipua iache ipoe. Ikisha poa tumia kunywa
mchanganyiko wako wote. Utakunywa mara moja tu kwa siku.
Kama utapenda, unaweza kuchanga na asali robo lita na kuchemsha pamoja, kisha ikisha tokota, ipua iache ipoe na utumie kunywa.
B. KACHUMBARI YA KITUNGUU MAJI NA KITUNGUU SWAUMU
Chukua vitunguu maji vikubwa vinne, kisha vimenye na kuvikata kata, kama vitunguu vya kachumbari. Halafu chukua punje kumi na sita za vituu swaumu, vikate kate na uvichanganye pamoja na vitunguu maji ulivyo vikatakata.
Tumia kula mchanganyiko wako wote. Utafanya hivyo mara moja tu kwa siku. Unaweza kuongeza na chumvi ya kawaidakidogo kama utapenda. Tumia kachumbari hii mara nyingi kadri utakavyo weza.
MENGINEYO
Kama ni mtumiaji wa chai, penda sana kutumia chai iliyo ungwa kwa pilipili manga na tangawizi. Na kama unaatumia uji, penda sana kutumia uji ulioungwa kwa pilipili manga
Jenga mazoea ya kutumia nyanya chungu katika kila mlo wako. Kwa mfano, kamaunakulala ugali na nyama, basi nyanya chungu pia ziwepo pembeni ( NYANYA CHUNGU ZINAZO HITAJIKA HAPA NI ZILE ZENYE RANGI YA KIJANI KIBICHI )
vi. Jenga mazoea ya kuwa unajumuisha kitunguu swaumu kwenye mlo wako. Nyanya chungu iwe kiungo kisicho kosa katika mlo wako. Mfano, kama unakula ugali na nyama, basi katika mchuzi ya mboga yako, kitunguu swaumu kiwe miongoni mwa viungo.
Kwa mahitaji yako ya dawa ya JIKO pamoja na vumbi la kongo, wasiliana na NEEMA HERBALIST, duka la kuuza dawa mbalimbali za asili. Tunapatikana Ubungo jijini Dar Es Salaam, jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING, nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.
Kwa wateja waliopo jijini Dar Es Salaam, wasio na muda au nafasi ya kuja ofisini kwetu Ubungo, tunayo huduma ya kuwafikishia dawa mahali walipo ( HOME & OFFICE DELIVERY)
Kwa wateja waliopo nje ya mkoa wa Dar Es Salaam, watatumiwa dawa kwa njia ya usafiri wa mabasi mbalimbali. Wateja waliopo Zanzibar watatumiwa dawa kwa njia ya usafiri wa boti, wateja waliopo Nairobi watatumiwa dawa kwa mabasi ya DAR EX PRESS, wateja waliopo MOMBASA watatumiwa dawa kwa mabasi ya TAHMEED, na wale wa ughaibuni watatumiwa dawa kwa njia ya POSTA au DHL.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0766 53 83 84.
Na kwa taarifa zaiddi kuhusu huduma zetu, tutembelee kila siku kwenye blogu yetu:
www.neemaherbalist.com
Post a Comment